ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI

Year of Establishment
2021

ni muhimu kutambua Mungu anasema nini juu yako ili uweze kushinda maana bila kujua na kutambua sauti ya Mungu, basi kamwe huwezi jua mambo anayoyapanga adui kwa ajiri yako

Our Updates

By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  5th December, 2021
Karibu ungana nami mathayo Daudi sudai tujifunze kwa pamoja habari za ufunuo wa Yohana katika sura hii ya mwisho UFUNUO 22 1 Kisha akanionyesha MTO WA MAJI YA UZIMA, wenye kung'aa kama bilauri...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  5th December, 2021
Karibu tena mtu wa mungu tujifunze habari za maono alioonyeshwa mtumwa wa mungu Yohana katika kipindi cha mateso huko kisiwani patmo.mimi ni mathayo Daudi sudai ungana nami. Ufunuo 15 inasema........
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  5th December, 2021
Karibu ,ungana na mimi mathayo Daudi sudai ili tujifunze mwendelezo wa kitabu cha ufunuo ... Katika sura ya 21 biblia inasema...... 1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  3rd December, 2021
Karibu tujifunze jambo la muhimu Sana litakaliweza kumfahamu Huyu shetani na mafundisho yake katika kipindi hiki cha mwisho Ungana nami tujifunze.... 1 Timotheo 4 : 1 “Basi Roho anena waziwazi ya k...
TAFSIRI YA BIBLIA ,UFUNUO WA YOHANA SURA YA NNE.
   by mathayo sudai
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  3rd December, 2021
1 Baada ya hayo naliona, na tazama, mlango ukafunguka mbinguni, na sauti ile ya kwanza niliyoisikia kama sauti ya baragumu ikinena nami, ikisema, Panda hata huku, nami nitakuonyesha mambo ambayo haya...
NINI KIPO NDANI YA UFUNUO WA YOHANA SURA YA 19
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  3rd December, 2021
Umebarikiwa sana kwa kupata nafasi ya kushiriki nami pamoja tunapoanza kuangalia mungu alimuonyesha nini Yohana katika sura hii ya 19 katika kitabu cha ufunuo   Tuendeleee.... Biblia inasema  UFUNUO...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  3rd December, 2021
Karibu ungana nami tujifunze namna na wakati ambao shetani unapenda sana kutumia ili kumvamia mtu wa mungu....Mimi ni mathayo Daudi sudai .ungana namiKama umechunguza utagundua kuwa Wanajeshi vitani...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  2nd December, 2021
Karibu tena ungana nami mathayo Daudi sudai katika kitabu hiki cha danieli sura ya kumi na mbili. Huu ni mwendelezo wa kitabu cha Danieli leo tukiwa katika ile sura ya mwisho ya maono Danieli aliyoo...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  2nd December, 2021
Karibu ungana nami mathayo Daudi sudai katika mwendelezo wa kitabu cha Danieli, kama tulivyoona katika mlango uliopita, Danieli akionyeshwa maono yale na Gabrieli, akiwa kando ya ule mto Hidekeli ja...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  2nd December, 2021
Nini maana ya kuutia moyo ufahamu? (Danieli 10:12) SWALI: Nini maana ya kuutia moyo ufahamu? Mtu anatiaje moyo wake ufahamu?  Danieli 10:12 “Ndipo akaniambia, Usiogope, Danieli; kwa maana tangu s...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  2nd December, 2021
Ungana nami ...mathayo Daudi sudai tuone danieli mlango wa tisa Katika sura hii tunaona Danieli kwa shauku ya kutaka kujua hatma ya Taifa lake Israeli na watu wake,hata lini wataendelea kukaa katik...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  1st December, 2021
Njoo uone namna gani shetani anashughulika katika suala la kutafuta watu kwenye ulimwengu huu mbovu.Karibu...Zaburi 119:105 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu…”Hakika tukilifa...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  1st December, 2021
 Basi tena Karibu ungana nami mathayo Daudi sudaiili tujifunze kwa pamoja habari za kitabu cha danieli katika sura hii ya sita Danieli 6:1-18″1 Ilimpendeza Dario kuweka juu ya ufalme maliwali mia na...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  29th November, 2021
Karibu mtu wa mungu ,,mimi ni mathayo Daudi sudai, twende kwa pamoja tujifunze habari za maono ya danieli katika sura hii ya sabaDanieli 7:1-8″ 1 Katika mwaka wa kwanza wa Belshaza, mfalme wa Babeli,...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  28th November, 2021
  Karibu ungana nami mathayo sudai tujifunze kitabu cha danieli sura ya naneTukiendelea na mlango huu wa 8, tunaona Danieli akionyeshwa maono mengine ya kipekee yanayohusiana na mambo yatakayokuja k...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  23rd November, 2021
Karibu tujifunze habari za UNYAKUO ,kipindi na tukio ambalo kila mmoja imefaa alifahamu ili kuwa na Shauku ya kujiweka tayari,kukesha na kumsubiri Kristo ungana nami tena mimi ni Mathayo Daudi sudai...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  23rd November, 2021
 Karibu tujifunze jambo kubwa juu ya kumjua roho MTAKATIFU na karama ya unenaji kwa LUGHA mpya . Mimi ni mathayo Daudi sudai ungana nami .... Je kunena kwa Lugha mpya kukoje?.Na hizi lugha ni zipi,...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  22nd November, 2021
Karibu tujifunze kitabu cha ufunuo sura ya 18 . Ufunuo 18 biblia inasema... 1 Baada ya hayo naliona malaika mwingine, akishuka kutoka mbinguni, mwenye mamlaka kuu; na nchi ikaangazwa kwa utukufu wa...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  22nd November, 2021
Na je! Kuoa ni suluhisho la kuzuia tamaa kama biblia inavyosema katika 1Wakorintho 7:9?.  Bwana Yesu alisema amtazamaye mwanamke kwa kumtamani amekwisha kuzini naye nafsini mwake. Sentensi hiyo ina...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  11th November, 2021
Karibu tujifunze habari ya mihuri SABA katika ufunuo sura ya 6 Tukisoma kitabu cha ufunuo sura ya tano, tunaona Mungu akiwa ameketi kwenye kiti chake cha enzi akiwa na kitabu katika mkono wake wa ku...
By ELIMU YA BIBLIA by MATHAYO SUDAI   |  11th November, 2021
This is Mathayo Daudi Sudai website created by Mathayo Daudi Sudai. Mathayo Daudi Sudai falls in EDUCATION line to heaven...

This site was designed with Websites.co.in - Website Builder

WhatsApp Google Map

Safety and Abuse Reporting

Thanks for being awesome!

We appreciate you contacting us. Our support will get back in touch with you soon!

Have a great day!

Are you sure you want to report abuse against this website?

Please note that your query will be processed only if we find it relevant. Rest all requests will be ignored. If you need help with the website, please login to your dashboard and connect to support